Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
Nianze na wewe usiye na adabu, yule mtu mzima umempa chumba alale kisha unafungua mlango wake bila kubisha hodi! Tabia za wapi hizo! Ulimkwaza sana. Ungemkuta anasali ingebidi akatisha sala yake mpaka wewe mjinga umalize kupiga pasi!Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Acha wehu mzee Wasukuma wameingiaje hapoWatu wa bush hasa wasukuma wana matatizo sana.
Imagine mpaka leo karne ya 21 bado kuna jamaa wanavaa chupi zile za kizamani miaka ile ya 47!
Nakubali nawewe mleta uzi hajielewi unapoingia chumbani aliko mtu shart ugonge hodi zaidi ya mara3 ukiona kimya hapo sasa ndo unaweza kutumia nguvu hata kuvunja mlango!Sasa kweli ndiyo uje umdhalilishe humu kisa katoka kijijini na kalala uchi?
Kwanza kwa nini uingie chumba cha mgeni wako? Gonga hodi kwanza. Wewe ni mshamba kuliko mgeni wako
Kama zilivyo starehe nyingine, starehe za wengine ni kulala uchi (especially privacy ikiwa nzuri) na sioni shida yoyote katika hilo. Kikubwa ulipaswa kugonga mlango usubiri akufungulie, au ungemwambia mapema kuwa asubuhi utakuja kunyoosha nguo. Tupindue story, ungemkuta kaa na asubuhi yote hiyo mashine imesimama pia ungekuja kuanzisha mada?Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Isijekuwa ulikuwa unataka ukamfanyie mambo mabaya akakushitukia?Sawa
Mambo vipi shemeji
Hali si hali, mgeni wa kiume wa mtoa mada haeleweki, analala kifudifudi akiwa uchi wa mnyama BICHWA KOMWE -Mambo vipi shemeji
nayeye kwanini alale mali aache kama yupo soko mjinga...🤣
😁😁 Ndio umekuja kuniumbua huku kwanini usinge nambie..huku darasalama joto Sana sisi wa mkoani hatujazoea.Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Dar kuna joto sana uwe unabisha hodi hata kama ni kwako,nafikiri wewe unayewaza hayo makalio kifudifudi ndo unamatatizoKuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
So shida nini?Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.