Walio karibu nawe wawe wangalifu usije ukajinyonga maana sio kwa hasira hizo @ msinifokeeSimba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.
Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.
#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza
Subirini tutawajibu uwanjani,Hiyo Aya ya pili inapaswa kuwa dira ya Mtanzania yeyote.. mtu anayeidharau nchi Hii na misingi yake tunamuwajibisha... Kea Sasa MASHABIKI WA SIMBA TUNAPASWA KUWASAJIBISHA UONGOZI WA SIMBA NA TFF KWA KUSUSIA MECHI ZOTE ZA LIGI. Ili iwe funzo wakienda nje huko waje na wachezaji sio wavuta bangi.
Kuna sehemu Morison ameitukana Tanzania hadi msimtake,Hasira wakati tuko naye mjengoni!? Sie Kama Watanzania Hatumtaki...
Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..Kuna sehemu Morison ameitukana Tanzania hadi msimtake,
Sema Yanga hamtaki.
Morison amekuja kwa ajili ya uwanjani sio kua mtanzania.
TFF watamsafisha kwenye ripoti yao ndio maana mikia wamemsainisha leoSimba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.
Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.
#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza
Tafadhari naomba uniambie nini au lini huyo BM alidharirisha taifa.Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..
Mwamedi kafanya hivyo kuikomoa Yanga. Naona Yanga wamesema Morrison alishasigna Yanga. Sasa hapo yatamkuta ya kina Thomas kipesa. Kuna interview moja nilimsikia Thomas Kipese akisema walisigna mara mbili kilichowakuta waliambiwa warudi Yanga au wafungiwe mwaka mmoja. Kipese alikubali kufungiwa ila Ken Mkapa akarudi Yanga.Mwaame naye kazingua, kwanini ampokee!? Mwaame sio mzalendo
Vipi kwa yondani,twite na singangano wewe ni mgenii na nchii hii??mwenye pesa ndio mla nyama kakaMwamedi kafanya hivyo kuikomoa Yanga. Naona Yanga wamesema Morrison alishasigna Yanga. Sasa hapo yatamkuta ya kina Thomas kipesa. Kuna interview moja nilimsikia Thomas Kipese akisema walisigna mara mbili kilichowakuta waliambiwa warudi Yanga au wafungiwe mwaka mmoja. Kipese alikubali kufungiwa ila Ken Mkapa akarudi Yanga.
Yondani hapo hata mimi sijaelewa kwa nini wameshindwa kufikia makubaliano.Vipi kwa yondani,twite na singangano wewe ni mgenii na nchii hii??mwenye pesa ndio mla nyama kaka
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Siku akizingua tusikie kauli hizi hizi.Pambananeni na hali zenu ndugu zangu utopolo. Mambo ya simba hayawahusu
Kwa jeuri ya pesa ya Ponjoro wao, wameshindwa kusubiri Jumatatu ili TFF watoe majibu ambayo tunajua yamepangwa huko policcm eti signature ya Morrison imegusiwa kwenye mkataba.
Kama signature yake iligusiwa, alienda vipi kwa Engineer ili wavunje mkataba? Aliwekewa hela kwenye account akakaa kimya kwanza.
Hii vita wameanzisha itawagharimu. Kibaya zaidi, itaigharimu sana business empire ya Mwamedi.
Time will tell
Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..