Huyu Mghana kuendelea kubakia nchini Ni Aibu kwa Taifa

Huyu Mghana kuendelea kubakia nchini Ni Aibu kwa Taifa

Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.

Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.

#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza
Walio karibu nawe wawe wangalifu usije ukajinyonga maana sio kwa hasira hizo @ msinifokee
 
Hiyo Aya ya pili inapaswa kuwa dira ya Mtanzania yeyote.. mtu anayeidharau nchi Hii na misingi yake tunamuwajibisha... Kea Sasa MASHABIKI WA SIMBA TUNAPASWA KUWASAJIBISHA UONGOZI WA SIMBA NA TFF KWA KUSUSIA MECHI ZOTE ZA LIGI. Ili iwe funzo wakienda nje huko waje na wachezaji sio wavuta bangi.
Subirini tutawajibu uwanjani,
Morrison alikosana na Yanga sio Simba , msitake kujenga Huruma hapa, Simba Simba tunamuitaji uwanjani na Ndo atakapo wajibu maswali yenu yote Utopolo fc
 
Walio karibu nawe wawe wangalifu usije ukajinyonga maana sio kwa hasira hizo @ msinifokee
Hasira wakati tuko naye mjengoni!? Sie Kama Watanzania Hatumtaki...
 
Hasira wakati tuko naye mjengoni!? Sie Kama Watanzania Hatumtaki...
Kuna sehemu Morison ameitukana Tanzania hadi msimtake,
Sema Yanga hamtaki.
Morison amekuja kwa ajili ya uwanjani sio kua mtanzania.
 
Kuna sehemu Morison ameitukana Tanzania hadi msimtake,
Sema Yanga hamtaki.
Morison amekuja kwa ajili ya uwanjani sio kua mtanzania.
Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..
 
Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.

Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.

#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza
TFF watamsafisha kwenye ripoti yao ndio maana mikia wamemsainisha leo
 
Utovu wa nidhamu wa Morson ulisababishwa na kukosewa adabu na viongozi wa Yanga. Wachezaji wote wapo hivyo. Kwa Simba ambayo haina longolongo huyu jamaa atapanda sana juu ya mpira, kunakitu kipya ataongeza pale Msimbazi.

Yanga endeleeni kusajili wachezaji legelege kama kina Zawadi Mauya. Mchezaji mwenye hasira za kizembe anaeshindwa kumkata mtama Ibrahim Ajib na kuishia kupepesuka mwenyewe kama ana Degedege.
 
Bahati nzuri tabia haijifichi ila itachelewa tu kuonekana.Acha tukae nae kwa mda hapa Simba.
 
Misbehaving zake zinatokana na njaa aliyokuwa nayo kule jangwani. Mpe chakula , mpe maji, mpe nyumba , mpe usafiri ,,, halafu uone kama ataonyesha tabia ya ajabu. Njaa ni kitu kibaya sana, wezi wengi wanatokana na njaa.

Morison abakie apewe chakula na hela za matumizi ndipo tumjaji kama ni mtovu wa nidhamu au la.
 
Mwaame naye kazingua, kwanini ampokee!? Mwaame sio mzalendo
Mwamedi kafanya hivyo kuikomoa Yanga. Naona Yanga wamesema Morrison alishasigna Yanga. Sasa hapo yatamkuta ya kina Thomas kipesa. Kuna interview moja nilimsikia Thomas Kipese akisema walisigna mara mbili kilichowakuta waliambiwa warudi Yanga au wafungiwe mwaka mmoja. Kipese alikubali kufungiwa ila Ken Mkapa akarudi Yanga.
 
Vipi kwa yondani,twite na singangano wewe ni mgenii na nchii hii??mwenye pesa ndio mla nyama kaka

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya mfa maji.... BM ni mchezaji best. Acha aende.tulikosea kumng'ang'ania. Nlisema mapema aachwe. Sasa tunaaabishwa na tunabaki kijifariji.

Kwa jeuri ya pesa ya Ponjoro wao, wameshindwa kusubiri Jumatatu ili TFF watoe majibu ambayo tunajua yamepangwa huko policcm eti signature ya Morrison imegusiwa kwenye mkataba.

Kama signature yake iligusiwa, alienda vipi kwa Engineer ili wavunje mkataba? Aliwekewa hela kwenye account akakaa kimya kwanza.
Hii vita wameanzisha itawagharimu. Kibaya zaidi, itaigharimu sana business empire ya Mwamedi.
Time will tell
 
Ukitunza heshima yako inatosha. Mbona sisi Yanga hatukumwacha BM mbona bado tunamtaka?simba wametupiga kwenye mshono.

Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..
 
Back
Top Bottom