Wewe Ndo unataka kujificha kwenye kivuli cha Utanzania wakati ni suala la timu ya Yanga na Morison, Wapi Morison ametukana watanzania au amewadharau watanzania?Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..
Tumuhukumu mtu kwa Hukumu anayostahili kuhukumiwa. Sio kuingiza nchi kwenye masuala ya Yanga na Morison. Ka issue ni uzalendo ulikua wapi kuandika haya kabla BM hajatangazwa kua mchezaji wa Simba?
Ingekua uzalendo Yanga walimuorodhesha ka mchezaji wanaye endelea naye mbona hamkusema kua Yanga waheshimu uzalendo na wakt walitoka kumfuta kazi kocha kwa kosa la nidhamu huku Morison waliendelea kubaki naye?