Huyu Mghana kuendelea kubakia nchini Ni Aibu kwa Taifa

Umeweka ushabiki mbele ya utanzania. Na Hilo Ni Kosa. Na Kwa Mawazo haya tunajenga Taifa la walamba viatu.. tunza heshima yako ina umuhimu mkubwa Sana..
Wewe Ndo unataka kujificha kwenye kivuli cha Utanzania wakati ni suala la timu ya Yanga na Morison, Wapi Morison ametukana watanzania au amewadharau watanzania?

Tumuhukumu mtu kwa Hukumu anayostahili kuhukumiwa. Sio kuingiza nchi kwenye masuala ya Yanga na Morison. Ka issue ni uzalendo ulikua wapi kuandika haya kabla BM hajatangazwa kua mchezaji wa Simba?

Ingekua uzalendo Yanga walimuorodhesha ka mchezaji wanaye endelea naye mbona hamkusema kua Yanga waheshimu uzalendo na wakt walitoka kumfuta kazi kocha kwa kosa la nidhamu huku Morison waliendelea kubaki naye?
 
Mtoa post ni chura tu japo anajifanya ni mshabiki wa Simba. Na Kama luc aymel alivyosema mashabiki wa uto hawajui lolote kuhusu mpira. Morrison kalidhalikisha Lin taifa? Na hata kuisumbua Yanga alianza kuisumbua baada ya kulazimishwa ana mkataba wa miaka miwili wakati yeye anasema Hana. Akiwa anaendelea na kesi yake TFF bado viongozi wakamlazmisha acheze mpira ilihar wakijua hayupo vizuri kisaikolojia. Hata ungekua wewe watu una mgogoro nao na ushalalamika kwa vyombo vinavyohusika af wakulazimishe kucheza unadhan utajisikiaje?

Ni vema tu Yanga watulie, Morrison hakua na mgogoro na taifa ana mgogoro na Yanga. Ns ameyafanya mengine sababu ya mgogoro huo. Hivyo msilazimishe tutumie hiyo kumhukumu morrison. Toka alipowapeleka Yanga TFF hakupaswa kucheza maana kisaikolojia hakua sawa
 
Acha mambo yako yakikoloni wewe. Kama kakosea ziko sheria na vyombo vyake vitafanya kazi yake ila sio wewe kuleta chuki zako kwamawavuli wakujifanya mzalendo. Uyo jamaa kaja kutafuta maisha kama ambavyo wako pia watanzania wenzetu wako nchi za watu na binadamu kukosea ni jambo la kawaida ndo maana sheria zipo..Tatizo lako wewe ni chuki wala sio kingine.
 
Simba, nguvu moja ya Mhindi [emoji1548]
Simba wanapaswa kuwa wazalendo, Tuhuma za kuvibishia vyombo vya Usalama, Kuvunja sheria za nchi, kudharau taratibu zetu viwanjani ..hatupaswi kabisa kuendelea kumkumbatia Mchezaji Huyu. Inajenga tabia ya wageni kujiona keki nyumbani kwetu kutudharau na kusambaza sifa mbaya ya Taifa Dhaifu.

Simba Na Uongozi wote wa TFF, Serikali na Mashabiki wa soka nchini lazima kuwe na mstari wa uzalendo ambao hatuwezi kuuvuka.

#Simba_Taifa_Kubwa.
[emoji1241][emoji3590] Uzalendo Kwanza
 
Simba wamelamba dume
Screenshot_20200808_094954_com.android.chrome.jpeg
 
Kuna watu wanataka kukuza swala la BM bila sababu zozote za msingi.Uyo jamaa mpira wake uko vizuri na akitumika vizuri atasaidia sana vilabu vyetu na swala la ukosefu wa nidhamu au utukutu wa mchezaji ilo viko vyombo vyakudeal naye kwasababu sidhani kama anaweza kufikia utukutu wakina balotel au alhaj diof, na walicheza sana soka uko nchi za watu.Naona kama kuna upande unaweweseka kwenye hili la uyu jamaa sasa wanataka kukuza mambo.

Back
Top Bottom