GE2025 Huyu mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wakulima ana hoja nzito ya uzalendo itakayompa kura nyingi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
 
CCM mnaenda kwenye uchaguzi mkishindana na nani?hivo vyama vyote vilivyobaki mmevitengeneza wenyewe ,ni aibu mtu mzima anapokimbia na watoto wake halafu anajifanya nshindi, mbona Chadema hamwafanyie hizo promo?
 
Mambo muhimu:
1. Uchaguzi ni uwekezaji ,wekeza kidogo ufaidike kidogo. CCM inawekeza sana ndio maana inafaidika
2.Kuibuka wakati wa uchaguzi ni mbinu dhaifu
3. Siasa ni ajira
4.Hakuna zaidi ya CCM nchi hii, huu ni ukweli mchungu
 
CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
Hili limama akishinda mtu mwingine Uraisi alivue hadhi ya Uraisi tu. Tapeli tupu
 
CCM tusimchukulie poa huyu mgombea urais wa chama cha wakulima. Ana hoja nzito ya uzalendo inayoweza kusababisha akapata kura nyingi na kutikisa ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Mama Samia Suluhu. Huenda akawa nafasi ya pili..
Hivyo umeona hata mgombea wa chama chako hana pointi ila wa hicho chama cha wakulima hicho ndio chaumwa au chaubwabwa?
 
Back
Top Bottom