Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi.
Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia.
Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika hili kwa wale ambao nmepata zungumza nao. Hasa wakiongelea suala la baadhi ya polisi kuonea watu hasa hawa wa khaki na traffics.
Mimi nashauri pia ni wakati wa jesh la polisi kujiangalia kwa umakini. Yale wanayowatendea watu. Si wote wanamwachia Mungu. Wengine wanaamua kushirikiana na Shetani.