Huyu mjamaa simwelewi

[emoji1][emoji1][emoji1] Kijana mshenz sana huyu
 
Umeandika uzi kivulana sana.Kwa ufupi haujui kuwasiliana na jamii nzima kwa kuzingatia umri/rika,wakati,eneo,kufahamiana,kuchagua maneno wala uwezo wa kuielewa lugha.
 
Punde akamuoa asee. Niliumia kidesign (kimtindo/kiasi/kidogo) ila baadae nikasema potelea mbali.
Wewe hukuwa muoaji bali ulitaka kupiga na kusepa acha wenzio wafurahie maisha
 
jamani Joanna aii!!!

Huo ni mwanzo wa ugomvi wa uzeeni. ugomvi huo haushi hadi mnaingia kaburini.

Hii chalii ya araa ihame mutaa kabisa maana yanaweza kutokea mauwaji.
 
Sasa huwa mnakutanaga wapi arifu? Ama mmeaamua kufanya phd pamoja muendeleze utoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…