Uchaguzi 2020 Huyu Mjumbe na MNEC alimsema Rais Magufuli ila Magufuli alimfokea na sasa amethibitisha kufoka kwake Tunduma kuchere

Uchaguzi 2020 Huyu Mjumbe na MNEC alimsema Rais Magufuli ila Magufuli alimfokea na sasa amethibitisha kufoka kwake Tunduma kuchere

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mimi sio mwanaCCM ila ninakumbuka hivi majuzi tu walipoketi wanaCCM kwenye mkutano wa kumpitisha mgombea wao wa kiti cha uraisi kuna mjumbe mmoja kutoka mkoani Ruvuma kama sio TUNDURU mjumbe mmoja alismama na kutoa maoni yake ya moyoni ambapo alimsii Mh Rais kuacha tabia ya kuwateua au kuwapitisha waliotoka upinzani ili hali kuna wafia chama.

Katika kujibu shutuma hiyo Rais amlijibu kuwa tabia hiyo hawezi kuacha kwani walio kwenye chama yaani wafia ccm wakismamishwa hawashindi

Jimbo ILO ni la silinde na wajumbe walimkata kweli SASA CCM imemrudisha je kibuli hiki si mtaji tosha kwa upinzani?tukutane jarambani
 
Back
Top Bottom