stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Hachomoi ccm hawamtaki kura za maoni shaidi
Sasa si ndo alikua mbunge before, yeye bado ana ushawishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hachomoi ccm hawamtaki kura za maoni shaidi
Tunduma tunamchagua wa CHADEMA tu,CCM tunaichukia sanaSilinde anapendwa sana Tunduma
Kinaeneaje humo mfukoni?Ana mifuko mikubwa kiasi gani?Tuacheni masihara,huyu Mzee anawaburuza wenzie!chama kimekubali kuwekwa kwenye mfuko wa jamaa
Hebu fafanua zaidiSilinde anapendwa sana Tunduma
😆😆😆😆 Utapendwa ukiwa cdm kinyume chake utadeki Sana ofisi za mataga.Huyo Silinde alikuwa Jimbo la Momba ,saizi ameanza kuonja joto la kuwa ccmSilinde anapendwa sana Tunduma