Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Amepambwa akapambika!wivu kwakuwa mzuri au maana sijakuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepambwa akapambika!wivu kwakuwa mzuri au maana sijakuelewa.
Unaishi na mtu ndani ya nyumba anageuka na kuwa zombie bado unakomaa nae tu.
Ana last born wao tatu..nayy hivohvo..vku hiz haonekani..cjui kapo eaMzaramo wa Msanga
lete picha acha mambo ya PROF KABUDIHuyo mdada ni mzuri,yeye angejiamini tu abaki na rangi yake.
Hata hivyo huwa najiuliza hivi hawa madada wanaojipaka vya kujipaka huwa inakuaje wakiugua nakukaa wodini kwa muda mrefu,nako huwa wanayapaka hayo madude au,najiuliza sana hasa mtu akiwa ICU sijui inakuaje..