Huyu mla panya bwana! Amechapiwa na ushahidi anao lakini bado anaendelea kumuamini huyu mnyaki

Huyu mla panya bwana! Amechapiwa na ushahidi anao lakini bado anaendelea kumuamini huyu mnyaki

Mla panya kwa mademu wenye mizigo hajambo aisee yaani inakuaje au anajisikiaje kuona demu wake anachapiwa na bado anamsamehe huyu mnyaki eti kisa ana mzigo yaani mla panya kwa mademu wenye mizigo haumiuambii kitu yaani hata akichapiwa yeye kwake sawa ila wala panya bwana wana udhaifu mkubwa kwa hawa wanyaki

Na si unakumbuka hata yule manzi aliyekuwa nae before alikuwa anachapiwa na mchezaji mmoja wa morogoro aliyekulia kinondoni na walikuwa washikaji kinoma na baada ya mla panya kugundua akampiga chini huyu msukuma aliyekulia Tabata akaenda kwa mnyaki
Sawa🤣🤣🤣🙌
 
Nyuzi kama hizi ndiyo hufanya nizidi kumkumbuka the one and only warumi aliyekuwa ana habari zote za mastaa.

Alifanya hadi sisi Wakulima tuwe na abc zote za Mjini DSM

Endelea kupumzika warumi
 
Back
Top Bottom