Mla panya kwa mademu wenye mizigo hajambo aisee yaani inakuaje au anajisikiaje kuona demu wake anachapiwa na bado anamsamehe huyu mnyaki eti kisa ana mzigo yaani mla panya kwa mademu wenye mizigo haumiuambii kitu yaani hata akichapiwa yeye kwake sawa ila wala panya bwana wana udhaifu mkubwa kwa hawa wanyaki
Na si unakumbuka hata yule manzi aliyekuwa nae before alikuwa anachapiwa na mchezaji mmoja wa morogoro aliyekulia kinondoni na walikuwa washikaji kinoma na baada ya mla panya kugundua akampiga chini huyu msukuma aliyekulia Tabata akaenda kwa mnyaki