barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Habari zenu...
Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema...
Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online.
Na kila muhindi akiwahoji anaitaja tanzania, maana yake analitangaza jina la tanzania ktk industry ya india.
Yaani ni big topi huko india ila hapa tz kimya hamna anayewaongelea licha ya wao kuitangaza tz...
Nashauri wawezeshwe kwa vyovyote pia wafaidike na wanachokifanya.
Account zao za instagram na tiktok @kili_pau na @neemapaul155 ...