barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mimi sio mmasai.. nimeikuta ktk mitandao hiyo nikaappreciate anachofanya ila inaonekana hafaidiki na chochote. Anafanya for the love..Raphiki unajipigia debe sio.....
Natania mkuu......Mimi sio mmasai.. nimeikuta ktk mitandao hiyo nikaappreciate anachofanya ila inaonekana hafaidiki na chochote. Anafanya for the love..
Sawa sawa!Natania mkuu......
Sina maana kuwa wewe ni maasai.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Ebwanaee kwani kuwa mmasai ni tatzoNatania mkuu......
Sina maana kuwa wewe ni maasai.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Huoni alivyo ruka[emoji23][emoji23][emoji23]Ebwanaee kwani kuwa mmasai ni tatzo
Hata mimi siko TikTok na wala sipendi habari za kitaifa. Niliwasoma kwa mara ya kwanza kutoka a certain Indian news agency nikajua Wabongo hawawajui kabisa. Nikaja kuwaona Insta na YouTube piaNdio wanafanya kitu gani huko tiktok mkuu? Sio wote tupo tiktok
Kuitangaza Tanzania sisi inatusaidia nini? Kwanza hawa wahindi waliopo tu ingekuwa amri yangu ningewafukuza wote.Habari zenu...
Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema...
Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online.
Na kila muhindi akiwahoji anaitaja tanzania, maana yake analitangaza jina la tanzania ktk industry ya india.
Yaani ni big topi huko india ila hapa tz kimya hamna anayewaongelea licha ya wao kuitangaza tz...
Nashauri wawezeshwe kwa vyovyote pia wafaidike na wanachokifanya.
Account zao za instagram na tiktok @kili_pau na @neemapaul155 ...
View attachment 2037954
Tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo tobo............tobo.Kuitangaza Tanzania sisi inatusaidia nini? Kwanza hawa wahindi waliopo tu ingekuwa amri yangu ningewafukuza wote.