Huyu Mnyama ananitoa roho

Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu?
Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hivi
 
Namimi nipost naweza nikazipata nikamiliki
 
Wanaomsingizia ama kumchukia makonda hawajaanza Leo toka enzi za bashiteee,lakini Mungu mkubwa alivuka na hata sasa atavuka tumwombee.
Weweeeeee unaumwa ugonjwa gani??
Sisi tunajadili kuhusu Magari huyo makonda anahusikaje Kwenye magari??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…