Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hiviSasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu?