Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
MO pale Simba anafaidika na nini? Anatoa hela nyingi kuliko anazoingiza ndiyo maana anapambana Simba ifanye vizuri Champions league ila siyo VPL
ChekecheaKabla hatujaendelea ningependa kujua kiwango chako cha elimu?
waswahili bhana mna tabu sana. yaan kila kitu magufuli tusaidie kila kitu rais hv hamjiskii aibu, ulio andik hii post kidogo unaonekana una akili ila sijajua umekwama wapi" hv uyu maguful hana wasaidizi wake? huwa nachukiaga sana watu wa namna hii yaan kitu kidogo tu hata kama wapo watu wa chini wanaoweza ku solve ilo tatizo bado anatajwa rais, ina maana mo kwako ndio kipa umbele no moja? uyo rais unayetaka akusaidie kwenye mambo ya mpira ina maana hana majukumu mengine ya kufanya? mbadilike jaman wa tanzania sio kila kitu bas afanye raisHivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?
Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote '
Hadi anaweza kuwazidi Azam Kwa sales...hadi Diamond kampa free promo Kwa kupitia Simba..
Toka ajihusishe na Simba mauzo ya Bidhaa zake yame tripple na amekusanya zaidi ya hizo bilion 3 kila siku Kwa faida..halafu bila aibu anakuja kusema anatoa ruzuku Simba...
Magufuli atusaidie kumdhibiti huyu Mo..agharamie matangazo yote ya Bidhaa zake kimkataba na atoe hela Kwa mujibu wa mkataba
Chekechea
Hivi unajua kwanini nyumba mbovu kariakoo zinauzwa mabilioni, jengo la simba thamani yake ni kubwa ingawa haifiki bilioni 20Kweli yale majengo ya simba unaweza kukopea ukapata hizo bil 20?
Kuwa serious na vitu vya msingi
Kama umeingia simba day kuna matangazo ya sabuni ya mo protector lakini haipo kwenye mkataba wa udhaminiAcha wivu wee mo Ana mkataba na Simba kupitia kichwaji chake Cha mo energy
Simba na Yanga wanaigana kila kitu....mpaka visivyopaswa kuiganaMpira wa kibongo miyeyusho.
Timu hua hazijifunzi.
Zitapitia shida ile ile kila mwaka ila hamna kujifunza hata punje.
Walianza Yanga. Manji anaihitaji Yanga kuliko Yanga inavyomhitaji Manji.
Yakatokea ya kutokea hadi leo timu inasua sua.
Naon Simba wanajiandaa kufuata mkumbo. Kwamba Mo anaihitaji Simba kuliko Simba inavyomhitaji Mo? Au siyo?
Yaani hapa Bongo Yanga akizingua na kua omba omba msimu huu usishangae misimu miwili mbele Simba ikafuata mkondo huo huo.
Na hawajui kujitegemea na hawajawahi kua na mipango ya kujitegemea
Manyani wanateseka sanaNdo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo. Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice!
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado
On pointBro we ni Boya kweli, Simba ipo kwa miaka mingapi na imechukua ubingwa mara ngapi bila Mwamedi kuwepo. Mwamedi haisaidii Simba bali amekuja Simba ili afaidike, Kama ni hivyo Simba nayo inapaswa kufaidika aweke 20b alizoahidi aache ujanja ujanja. Mbona African Lion aliikimbia Kama hakuna anachopata Simba. Mwamedi anajhitaji zaidi Simba kuliko imavyomhitaji sema tu basi timu zenyewe zina watu viazi Kama wewe!
Nakazia apoMkataba unasemaje kuhusu billion 20 ?
Tuanzie hapo kwanza.
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?
Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote. Hadi anaweza kuwazidi Azam Kwa sales...hadi Diamond kampa free promo Kwa kupitia Simba.
Toka ajihusishe na Simba mauzo ya Bidhaa zake yame tripple na amekusanya zaidi ya hizo bilion 3 kila siku Kwa faida..halafu bila aibu anakuja kusema anatoa ruzuku Simba.
Magufuli atusaidie kumdhibiti huyu Mo..agharamie matangazo yote ya Bidhaa zake kimkataba na atoe hela Kwa mujibu wa mkataba
mwamedi tapeliSimba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.