Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
Wakuu,

Ulishamtokea mtu lakini sometimes ukawa na wasiwasi sana?

Imenitokea mimi weekend moja hivi.

Huyu Dada wa kisukuma amezaliwa 2003. Muonekano wake na umri vinakinzana sana!

Ni binti nyama za mwili wake zimejipangilia vizuri sana.

Nilikutana nae tukazoeana kwa haraka sana na nilikuja kujua baadae ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, mambo ya Afya hapa mjini Daslam!

Katika kuongea ongea tamaa za kiume zikaniwaka!

One time akakubali lunch appointment, na hapo tulipoenda pana swimming! Nilimwomba kabisa abebe costumes za kuogelea.

Alitokea mapema kabisa eneo la tukio, akaniaminisha ni mtu anayejielewa.

Baada ya msosi tukapanga twende majini, alikuwa m'bishi sana ila alinielewa! akaenda akabadilisha, alinipagawisha balaa. Kishundu kimevimba vizuri balaa!! nikajua haya maji yatanikoma.

Nikatafakari sana pale singeweza kufaidi vizuri huyu mtu mgeni kabisa wa maji na kwenye swimming kulikuwa kuna watu wengine wachache. No freedom!

Nikamshawishi twende baharini akaelewa!

Hadi tunatoka out sijawahi kumtongoza kabisa. Nikajua hapa nakula tu tunda, as tutakuwa tumeelewana juu kwa juu but sio kwa siku hiyo.

Wakati tunahamia baharini, nikampanga kabisa tupige wine kidogo kwanza!! alikunywa kidogo mno, anyway sio shida kwasababu sikuwa na plan yakufanya chochote on that day, nilipanga tukumbatiane tu, tucheze na maji and then another day ningekuja na plan kubwa zaidi, she was very relaxed kwa kweli!!

Kwenye maji, nilipoushika mwili wake ndio nikapata mashaka kidogo. Hajui kabisa kuogolea so nilimchukulia boya, nikawa namsaidia tu kuelea elea.

Nikawa najaribu kushika wesere yake kubwa, akaniambia she is not comfortable mimi kumshika as hatuna mahusiano yoyote! Duh, kumbe shida ni mahusiano?

Nikashuka verse pale pale kwenye maji, ili nipate full authority ya kucheza na mwili, akaja na zile pigo za nipe muda nitakujibu, nikajaribu kuforce maneno nieleweke pale pale akaleta ugumu kwa minajili angenijibu siku sio nyingi.

Anyway sikuendelea kusisitiza nikijua anaweza kuboreka akatoka kwenye maji, na hata ile nafasi yakuwa nae pale karibu nikaipoteza.

Sasa katika kucheza cheza na maji ikatokea situation tukakutanisha vifua vyetu, duh! nilichoka aisee.
Binti ana maziwa ya ajabu ni malaini kupita kiasi, nikaanza kujiuliza hii inakuwaje? yaani malaini mno.

Nikatafuta namna nijiridhishe na nilichogusa, hali ikawa the same! Nikawaza huyu mtu ni wa vipi? akivua kile hiko kitopu itakuwaje? kwanini yuko hivyo? nikajiambia maybe ni maumbile tu, ila nikaendelea kuwaza.
Hajawahi kuzaa, ana miaka 21 tu! how comes awe na ziwa la hivyo?

Anyway aliniachia maswali mengi sana, au anajiuza sana? au anapigwa sana?

Juzi napokea ujumbe wake kwa Whatsapp "kuhusu lile jambo lako uliloniambia mimi hapana na haiwezekani"... my reply was very simple.
"Sawa I understand"...

Nikajikuta nafurahia kukataliwa.
☺️☺️
 
Unaita mtu aje ale hela yako na kuogelea nayo alafu shwaaah 😂😂😂 Anyaways mzazi hizo mbinu za kutumia Lunch and Dinner appointments kabla ya kuyajenga ni za kishamba sana labda uotee washamba ila wajanja wanakuja kula hela yako na hufanyi kitu
 
Unaita mtu aje ale hela yako na kuogelea nayo alafu shwaaah 😂😂😂 Anyaways mzazi hizo mbinu za kutumia Lunch and Dinner appointments kabla ya kuyajenga ni za kishamba sana labda uotee washamba ila wajanja wanakuja kula hela yako na hufanyi kitu
Naelewa sio mgeni sana kwenye haya mambo.
Kila kitu kina mapigo yake 😀
 
Back
Top Bottom