Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

Unaita mtu aje ale hela yako na kuogelea nayo alafu shwaaah 😂😂😂 Anyaways mzazi hizo mbinu za kutumia Lunch and Dinner appointments kabla ya kuyajenga ni za kishamba sana labda uotee washamba ila wajanja wanakuja kula hela yako na hufanyi kitu
Ni mbinu za kipumbavu saaaana ase..new generation needs new strategies
 
Back
Top Bottom