Mkuu sauti na sura tu havitoshi kumtoa nyoka wako pangoni mpaka chura? 😀😀
Ahsante MkuuAsante kwa tangazo ila anaimba vizuri kweli
Hahaa, wanaume ni viumbe wa ajabu sana (in Lissu's voice)Mwanamke bila chura ni sawa na kula chakula bila mboga. Chura kwanza vingine ni bonus tu.
Mkuu kumbe na wewe umeunga mkono hoja ya mlengwa kusimama? 😀😀Haha naona siku hizi watu hatuna mpango na sura wala sauti, wowowoww ndo mpango mzma na nafikiri ndo sababu ambayo inatufanya wengi tumetamani kuona video akiwa kasimama.
Mkuu umenifanyia shambulio la aibu, itabidi ukapimwe mkojo central, hakuna namnaHisia zangu zinanituma wewe ndio huyo dada, unajipigia promo ili Diamond akugonge. Ila uzuri Mond sio mchoyo[emoji16]
Ana sura pana sana na hizo rasta alizosuka ndo zinamfanya anaonekana ana bonge la kichwa kama....anyway beauty is in the eyez of an individual....Kichwa chake kina misuli kama yule mdogo wake Alikiba.
Kaimba vizuri.
WAKUU MWENYE KUJUA MARKET VALUE YA ILE CHUPI YA MREMBO NANDY KIVURUGE AKUJA MAHALI HAPA
Mbona anaimba nje ya key...
Embu msikieni huyu.
Anajitahidi ila bado hajanikonvisi, inawezekana ndiyo ile ya beauty lies in the eyes of the beholderMbona anaimba nje ya key...
Embu msikieni huyu.
Domo kazoea vitu "YUZID" mileage zaidi ya 300,000kms haya mambo anayasikia kwa watu tu.Wakuu, heshima kwenu! Katika pitapita yangu kwenye mitandao ya kijamii, nimekutana na huyu mrembo, jina lake anaitwa Precious Mary akiwa amefanya cover ya wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa na Omarion, African Beauty.
Nikiri kwamba sijawahi kusikia habari zake mahali popote lakini baada ya kuiona cover hiyo, nimeshawishika kuamini kwamba endapo Simba naye ataiona, hawezi kumuacha mwanadada huyu hivihivi!
Ukiachilia mbali sauti yenye uwezo wa 'kumtoa nyoka pangoni', huyu msichana ni mrembo wa haja na anajua pozi za kucheza na kamera. Enyi wafuasi wa Simba, hebu muonesheni bosi wenu hii cover ili afanye mambo kwa huyu mrembo.
Ni matumaini yangu na natoa RAI kwamba mambo atakayoyafanya Simba, yatahusiana na kumnyanyua mrembo huyu kisanii ili kesho na keshokutwa naye aje kuwa icon mkubwa katika muziki huu wa Bongo Fleva na si vinginevyo.
Wasalaam!
Anaimba kama vile PAMBIO la Sunday School JKKKKKKKtHuyu ndio hajui kuimba kabisa kabisa.
Mungu Hakupi VyoteDomo kazoea vitu "YUZID" mileage zaidi ya 300,000kms haya mambo anayasikia kwa watu tu.