Huyu mrembo kwasasa namuelewa sana, Tanzania kuna wanawake wazuri jamani

Tatizo ana maji mengi yaani kama unaogelea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba hapo jamaa atapoteza hela
 
biashara matangazo ingia DM uliza bei au ukiona hivo fanya show off za kufa mtu huku umemfollow
Ukimfollow onyesha kama unakula bata huko Marina Dubai, mara umepanda ndege daraja la kwanza kwenda kumsalimia Biden, mara unaogelea na kula bata visiwa vya Bora bora Maldives na hizo picha si lazima uende huko mimi nipo tayari kukufanyia photoshop ya nguvu bure huku ukiendelea kula mihogo Buza kwa Mpalange
 
Kimfaacho Mtu kipo machoni pake yeye mwenyewe.

Rafiki mmoja aliniambia ana zaidi ya miaka 19 hajachepuka kwenye ndoa na sababu kubwa ni hadaa na tamaa za macho tu lakini alipokuwa akitongoza warembo haswaa kuliko hata Mke wake hakukuta kitu kwa yaliyomo(ya ndani) kuzidi Mke wake. [emoji849][emoji16]
 
Huyu fetty asikutishe sana....mzuri ila sio hadi wakumfungulia uzi,,Skuiz naona anatrend,enz hzo ndo katoka kwao tanga kutwa hakauki Facebook [emoji2][emoji23],,hata ukichat nae utacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…