Huyu mrembo kwasasa namuelewa sana, Tanzania kuna wanawake wazuri jamani

Tena hua ni vishamba vishamba tu na hata mapenzi havijui, imagine Kuna mpaka mama ntilie mitaani ni wazuri kuliko wao, wanawapa sifa zisizo wahusu
 
Huyu fetty asikutishe sana....mzuri ila sio hadi wakumfungulia uzi,,Skuiz naona anatrend,enz hzo ndo katoka kwao tanga kutwa hakauki Facebook [emoji2][emoji23],,hata ukichat nae utacheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huyu ana uzuri gani jaman khaaah? Hebu nimtanie kwa no ake, acheke hadi bas woiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnaosema mkipiga Jackpot mnaanza nae sijui mtamnunulia BMW ndio mgonge, lol

Manzi anaonekana ana shida balaa laki yako tu +chakula+ vinywaji unakula usiku mzima,

Halafu wa hivyo hua sio wa kurudia, one night stand inatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…