Hahahaaaa...!Ukimfollow onyesha kama unakula bata huko Marina Dubai, mara umepanda ndege daraja la kwanza kwenda kumsalimia Biden, mara unaogelea na kula bata visiwa vya Bora bora Maldives na hizo picha si lazima uende huko mimi nipo tayari kukufanyia photoshop ya nguvu bure huku ukiendelea kula mihogo Buza kwa Mpalange
Kichwa kitaliwaAisee hii mupya ngoja nikaijaribu nilete mrejesho ipi ni bora
jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
View attachment 2189632
View attachment 2189636
View attachment 2189637
View attachment 2189638
Huyu nikimuhonga BMW 5 series ya 2018 au 2020 najilia vizuri
Naona unaskia Raha kututukanaYaah kwa usoft Ni kweli Wana ngozi so amazing na Ni wazuri sana...Mungu atutunzie utalii wetu...Ila kwenye kaushamba wako poa
Ushamba sio tusi bhanaNaona unaskia Raha kututukana
Kumbe kichwan hazimo[emoji1787][emoji1787]Nilimuacha anasoma HRM level ya certificate pale chuo Cha taasisi ya ustawi wa jamii, ilikuwa 2020 wakati Niko mwaka wa mwisho, Naona siku hizi anatrend Sana mitandaoni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Kumbe kichwan hazimo[emoji1787][emoji1787]
jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
View attachment 2189632
View attachment 2189636
View attachment 2189637
View attachment 2189638