Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Chunguza background yake
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine ananipikia pale anapokuwa karibu; dah equation x nimekamatika kisawa sawa.
Hapa nilipo, nimemwambia aende senta fulani aagize anachotaka kula na kunywa, baada ya lisaa limoja nitakuwa pale kumpa kampani na maneno mazuri mazuri, pamoja na kumuambia asante kwa kuwa karibu nami.
Ama kweli, kupendwa na mrembo ni raha sana.
Sifa alizotaja hapo hazitoshi kuoa mwanamkeMuoe Sasa
Nnya yako! Picha wapi?
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine ananipikia pale anapokuwa karibu; dah equation x nimekamatika kisawa sawa.
Hapa nilipo, nimemwambia aende senta fulani aagize anachotaka kula na kunywa, baada ya lisaa limoja nitakuwa pale kumpa kampani na maneno mazuri mazuri, pamoja na kumuambia asante kwa kuwa karibu nami.
Ama kweli, kupendwa na mrembo ni raha sana.
Simba na yangaAmekusev Jina gani kwenye phonebook yake?
Unatudindisha bure,weka picha tumalizie kupiga puchu!!!
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine ananipikia pale anapokuwa karibu; dah equation x nimekamatika kisawa sawa.
Hapa nilipo, nimemwambia aende senta fulani aagize anachotaka kula na kunywa, baada ya lisaa limoja nitakuwa pale kumpa kampani na maneno mazuri mazuri, pamoja na kumuambia asante kwa kuwa karibu nami.
Ama kweli, kupendwa na mrembo ni raha sana.
Bila picha Nyuzi kama hizi huwa ni Batili

Imani yangu inaruhusu mke mmoja tu; ila kwa huyu atakuwa mke wa pembeni wa kimya kimya πMuoe Sasa
Baba watoto πAmekusev Jina gani kwenye phonebook yake?
Nimeshaanza kufanya hivyo; ila kwa ishara ni mtu akiamua kupenda anapenda kweli.Chunguza background yake