Huyu mrembo ndo story ya town.. Diamond kiboko, pole Zari

Huyu mrembo ndo story ya town.. Diamond kiboko, pole Zari

Kwakweli wacha wamtamfune tyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na amechimba "biti" ole wake mtu amsogelee huyu binti...si zari si nani...[emoji23][emoji23][emoji23]
Lipo wapi hilo bit mkuu Nina hamu nilione[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Diamond nadhani atakua mtu hatari sana.... Maana sio kwa tuhuma hizi.
Qn.. Huyu jamaa ni nani, anafanya kazi gani, just kurious!
 
Ufurahie wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu aka mume wa Zari kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards link hii zipo 4

Nominees 2016 | AFRIMMA

*********

AEA USA AWARDS zipo 5

www.aeausa.net/vote

Utakutana na maelezo haya chini...nimeweka uyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

************

Uganda Entertainment Awards zipo 2

http://ugandaentertainmentawards.com/
 
Chache za anazorushaga za mkewe na kapushenu zake hizo pichani

Screenshot_2016-07-27-22-08-21_1.jpg


Screenshot_2016-07-27-22-09-35_1.jpg


Screenshot_2016-07-27-22-08-55_1.jpg


Mapenzi Mapenzi matamu...

Msisahau kumpigia kura, sababu binti mliyemweka post namba moja yeye anaomba watu wampigie kura yule msanii Ray wa WCB.
Acha watengeneze pesa... ni furaha kuona mnawaongelea nguvu zenu zinawaishia bila kuingiza pesa... wakati wao wanaingiza.
 
Namtetea kuna kina mama kibao wako social media kuwataja wachache hadija koppa, mama hamisa, mama lulu, mawaziri wanawake kibao acha ushamba. Mama Simba upo juuu
hao nao huwa wanawachafua wakwe zao?
 
Back
Top Bottom