Huyu msanii aliyevaa shanga kiunoni mbona anakubali mara anakataa

Makosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
1,183
Reaction score
2,622
Sina uzoefu na kupost humu ndani ila hii kitu imenishangaza.

Nilikuwa naangalia Enews mahojiano ya "Y Tone" kuwa kuna picha yake inasambaa amevaa shanga kiunoni kwa jinsi anavyojibu ni kuwa Mara sio mimi , Mara kama nimevaa ni mwili wangu hauwahusu ..Mara sijui nitadeal nae aliyenipiga picha huku akimkimbia mwandishi.

Kwa hayo majibu inaonyesha kabisa ni yeye.


Hii inadhihirisha kilichokuwa kinasemwa humu ni kweli, mwanaume utavaaje shanga!!

Picha sina.
 
Kuna jamaa alishawahi tembea na wasichana lukuki kisa shanga. Yeye alikuwa ni kidume haswa, kwahiyo kila mwanamke aliye lala naye, alimsimulia mwenzake, wakajikuta wakimshobokea jamaa ili waamini kinachosemwa. Kwa huyo msanii inawezekana anatafuta unafuu wa namna hiyo, though sina uhakika.
 
Post bila picha imekosa uzito
 
Sasa mkuu unaletaje ujinga wako apa bila picha? Puuuuuuuu ... Rejচরচভৌৃৌপৈল হৌহৌৈককৈ
 
Msishangae jamani
Yawezekana ni mwanaume mwingine anapungua.

Tusikitike na tumuombe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…