Makosa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 1,183
- 2,622
Sina uzoefu na kupost humu ndani ila hii kitu imenishangaza.
Nilikuwa naangalia Enews mahojiano ya "Y Tone" kuwa kuna picha yake inasambaa amevaa shanga kiunoni kwa jinsi anavyojibu ni kuwa Mara sio mimi , Mara kama nimevaa ni mwili wangu hauwahusu ..Mara sijui nitadeal nae aliyenipiga picha huku akimkimbia mwandishi.
Kwa hayo majibu inaonyesha kabisa ni yeye.
Hii inadhihirisha kilichokuwa kinasemwa humu ni kweli, mwanaume utavaaje shanga!!
Picha sina.