Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee baba yangu jamaa anatafuta rizki watoto wake nao wasome na wapishane chooni,,, kama unatafuta m2 wa kumpa makavu live ni pm nikupe namba ya jei kei
nawasilisha maoni yangu
Kweli maprosoo naona umeishiwa. kama anataka nafasi ya kuchekesha wewe useme sion sababu ya amponde mwanaume mwenzio ambaye anatafuta cha kupeleka tumbon. usikute hata wewe hapo kazini kwako wanakusema hujui lolote ni KAMLETE na umeletwa na ndugu ya. Kama una shida ya kutoa makavu live nenda bungeni.
yani hapo umempatia kabisaaau uhouse boy.
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce fani ambayo sio yake. ushauri wangu kwa huyo jamaa angeenda kuimba taarabu na akina mzee yusuf ndio angependezea zaidi ......mwenye namba zake unipe nimpe MAKAVU LIVE.
Mngejua huyo jamaa ndiye kiongozi wa Ze Komedi na mtunzi wa matukio msingesema hivyo. In fact, huyo jamaa amebobea kwenye usanii wa kuiga mtu kimavazi, kinwonekano n.k. Kumbuka enzi zile alipokuwa anaigiza kama lowassa.