Huyu Msanii Jolie anajua sana akipata management nzuri atafika mbali

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,931
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota.
Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
 
Management ndio nn hebu acha kukariri, THT si ndio hao kina Ruge na clouds fm ambao ndio management ya Nandy
 
Yuko poa sana naupenda ule wimbo wake "Bado mapema"
Kuna yule mtoto wa Gadner anaitwa Careen nae anakuja vizuri sana!
 
Ndyo mkuu maana hata now ukiniuliza
Ngoma gan inaht Bongo kwa Sasa wala
Ntafel huo mtihan
Mimi nyimbo za mbele ndizo sisikilizi nyimbo ninazopenda za mbele za zamani zamani tu enzi zile akina R-Kelly bado wako juu sana enzi za akina Kelly Monogue hizi za siku hizi nasikia tu mfano kuna huyu mdada namsikia sana wanamtaja sijui Cad B (hata jina sijui kama nimelipatia) simjui hata sura wala wimbo wake hata mmoja ila nasikia ana nyimbo zina hit balaa
 
ni mtoto wa fredwaa mtangazaj clouds, najua wajua na mim nakujuza
 
Ww n kama mm tu maana hata za mbele n
Old song ndo naskiliza Hawa wasanii wapeane hawana tofaut na Hawa masharobaro wa bongo
 
ni mtoto wa fredwaa mtangazaj clouds, najua wajua na mim nakujuza
Huyu Fredwaa aliyekuwa redio free kabla ya kuhamia clouds? Mbona katika mahojiano anasema kwao ni watu wa dini sana wa kanisa kanisa wanaimba sana gospel?
Sikujua kama Fredwaa ni mtu wa hivyo
 
Yuko poa sana naupenda ule wimbo wake "Bado mapema"
Kuna yule mtoto wa Gadner anaitwa Careen nae anakuja vizuri sana!
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]
 
Sahivi unaambiwa kina Drake ndio wanakimbiza kwenye charts mbalimbali lakini ukisikiliza album zao unashikwa na hasira
 
Sahivi unaambiwa kina Drake ndio wanakimbiza kwenye charts mbalimbali lakini ukisikiliza album zao unashikwa na hasira
Kweli kabisa nimesikia album yake imesikilizwa mara 300,000,000 week ya kwanza sasa ikapigwa ngomamoja toka kenye album yani nikabaki aah nini sasa hiki.
 
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]

Ndio mwanae huyo!
Ametoa ngoma nyingine inaitwa Lawama hatari sana!

Zamu yenu wadau kumkojoza mwanae kama yeye alivyokua anajisifia kumkojoza Dada eti jide miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…