mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota.
Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Management ndio nn hebu acha kukariri, THT si ndio hao kina Ruge na clouds fm ambao ndio management ya Nandy
Kwahiyo umebaki kucomment tu au vipi mkuu?Nlishaacha kufuatilia music ya bongo
Niko na old school zang tu
Management ndiyo managementManagement ndio nn hebu acha kukariri, THT si ndio hao kina Ruge na clouds fm ambao ndio management ya Nandy
Me nyimbo mpya zote zinanipita tu cku hiziNlishaacha kufuatilia music ya bongo
Niko na old school zang tu
Ndyo mkuu maana hata now ukiniulizaKwahiyo umebaki kucomment tu au vipi mkuu?
Mimi nyimbo za mbele ndizo sisikilizi nyimbo ninazopenda za mbele za zamani zamani tu enzi zile akina R-Kelly bado wako juu sana enzi za akina Kelly Monogue hizi za siku hizi nasikia tu mfano kuna huyu mdada namsikia sana wanamtaja sijui Cad B (hata jina sijui kama nimelipatia) simjui hata sura wala wimbo wake hata mmoja ila nasikia ana nyimbo zina hit balaaNdyo mkuu maana hata now ukiniuliza
Ngoma gan inaht Bongo kwa Sasa wala
Ntafel huo mtihan
Ww n kama mm tu maana hata za mbele nMimi nyimbo za mbele ndizo sisikilizi nyimbo ninazopenda za mbele za zamani zamani tu enzi zile akina R-Kelly bado wako juu sana enzi za akina Kelly Monogue hizi za siku hizi nasikia tu mfano kuna huyu mdada namsikia sana wanamtaja sijui Cad B (hata jina sijui kama nimelipatia) simjui hata sura wala wimbo wake hata mmoja ila nasikia ana nyimbo zina hit balaa
Huyu Fredwaa aliyekuwa redio free kabla ya kuhamia clouds? Mbona katika mahojiano anasema kwao ni watu wa dini sana wa kanisa kanisa wanaimba sana gospel?ni mtoto wa fredwaa mtangazaj clouds, najua wajua na mim nakujuza
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]Yuko poa sana naupenda ule wimbo wake "Bado mapema"
Kuna yule mtoto wa Gadner anaitwa Careen nae anakuja vizuri sana!
Sahivi unaambiwa kina Drake ndio wanakimbiza kwenye charts mbalimbali lakini ukisikiliza album zao unashikwa na hasiraMimi nyimbo za mbele ndizo sisikilizi nyimbo ninazopenda za mbele za zamani zamani tu enzi zile akina R-Kelly bado wako juu sana enzi za akina Kelly Monogue hizi za siku hizi nasikia tu mfano kuna huyu mdada namsikia sana wanamtaja sijui Cad B (hata jina sijui kama nimelipatia) simjui hata sura wala wimbo wake hata mmoja ila nasikia ana nyimbo zina hit balaa
Kweli kabisa nimesikia album yake imesikilizwa mara 300,000,000 week ya kwanza sasa ikapigwa ngomamoja toka kenye album yani nikabaki aah nini sasa hiki.Sahivi unaambiwa kina Drake ndio wanakimbiza kwenye charts mbalimbali lakini ukisikiliza album zao unashikwa na hasira
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]
Hivi yule kumbe ndio mtoto wa Gardner? Duh nilikuwa Nimeiona wimbo wake mmoja unaitwa 'Tunaendana' naupenda, nilikuwa sijui kama ndio huyo mtoto wake. Ni kazuri pia ntapeleka posa[emoji14] [emoji8]
Kwa sasa nasikiliza affirmative action Nas ft SupremeNlishaacha kufuatilia music ya bongo
Niko na old school zang tu