Katika muziki wa EDM (Electro, Dance, House, Chill, Funk, Trap 'Original' sio hii ya wavuta Bangi', na Deep) Producer/DJ ndiye anahusika kuanza kuchakata, kutengeneza na kutafuta muimbaji 'Singer' atie sauti na nyimbo hiyo huwa na umiliki wa wake (Kulingana na mkataba pia makubaliano).
EDM Musicians, Producers na Artists wamegawanyika katika makundi kadha wa kadha. Mfano wa EDM Artist ni Alan Walker 'Anao uwezo wa kufanya kitu chochote katika sanaa ya music na arts'. EDM Producers & DJ ni David Guetta, Robin Schulz, Phill Fülder, Dimitri Vegas & Luke Mike, Black Coffee 'Ndugu yetu wa SA', Basti M, Got Lucky na Armin van Buuren. To name a few....
EDM Musicians ni kama, Gianluca Vacchi, Willy William, Nicky Jones etc.
Kwa Africa notable EDM Musicians, Producers & DJ's ni RedOne, Uhuru f/ SA, Black Coffee f/ SA, R3hab na Nahreal f/ Tanzania.
Wenye asili ya East and Central Africa Ni watano tu ambao ni Nahreal, Mimi mwenyewe na Stunner Bitmex na Cuppa.