Huyu msanii Sia ni hatari

Aisee..yule mile cyrus ni bangi sana..... nashindwa kuelewa hata alipoishia

Umeongea kuhusu lady gaga.....Nyimbo zake na zipenda sana..yaani niile pop haswaa....... Naipenda sana ile ngoma aliyofanya na R.kelly (do what you want) ni ngoma 1 kali sana.....Bila ya kuzisahau Born on this way..Alejandro..Age of glory

Aisee mkuu- Yule dada anaimba aisee
Hawamjui aisee nilishangaa sana...ila yule wanamwelewa sana wazungu,

Hivi yule chizi lady gaga kaishis wapi? Na chizi mwenzie miley cyrus
 
kwenye EDH umemsahau DJ Snake na kina Major lazer..kumbe nawewe ni msanii?ntakufanyia interview utoe knowledge kwa wabongo wengi.
 
kwenye EDH umemsahau DJ Snake na kina Major lazer..kumbe nawewe ni msanii?ntakufanyia interview utoe knowledge kwa wabongo wengi.
Ndio nimetaja kwa uchache... Yeah ni complete Artist 'Full Package'.... Bring it on...
 
Kweli mkuu.. Kavunja rekodi nyingi sana, ule wimbo wake wa Blank Space ulimpa tuzo za kutosha...
Kuna ndugu yangu aliniambia mi nasikiliza nyimbo ambazo hazisikilizwi kabisa mtaani..
Hahahah naomba namimi nishangae.....yule dada kila siku ana vunja record mbali mbali mpaka kina beyonce wana muogopa..then kuna watu hawamjui !!!!!!
 
Miley Cyrus napenda sana kumsikiliza hasa album yake tra Bangerz.. Sidhan kama atakuja kutoa album bora kama ile..
Amejaribu kurudi mwaka jana lakini hajavuma kihivyo...

Kuna Jessie J naye, huyu ana mawe ya kutosha pia!
 
Kila mtuu anajifanya kumjua sia toka muda haya,ajitokeze mtu alete picha akiwa na sia ata kwa pembeni yake kama hakuna basi wote atumjui tuishie kumtizama kwenye kideo na mifoz.

AMA HAKIKA WATZ NI MAFWALILA!
 
Naijua na kuielewa sana "chandelier"... ngoja nitafute pini zake zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…