Huyu msanii sijawahi kumuelewa

Huyu msanii sijawahi kumuelewa

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
dsc09511-editcropped1.jpg
Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
 
Kwenye jamii kuna watu wa kila aina, wajinga, WAPUMBAVU, vichaa, wenye busara, vijana, wazee, walemavu, N.K.
Hapa pia ni Jamii forum
 
View attachment 3182349Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January

View attachment 3182349Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
Hatufanani
 
Kuna watu wanamuelewa, huwenda haimbi kwa ajili yako.
 
Marioo ni habari nyingine.

Pini zake zote ni bora sana.

Hakuna matata, love song, tomorrow, I miss you.

Umenikumbusha acha nimsikilize tena.
 
Back
Top Bottom