Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Si ndo apo kamejipa umuhimu kwenye hamna... usikute hajawahi kusikiliza ngoma ata boomplay au walau ku view youtube yake.. af kanajipa umuhimu simuelewi! tumtu bana.Umuelewe kwani wewe ni nani.
SawaHajui
We unamuelewa nan anaejua sana?Nyamazeni ,nimesema hajui
View attachment 3182349Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
Jamaa ni next levelHarmoniz ndo baba yao