Huyu msemaji mpya wa simba ni kituko kwa kweli

Huyu msemaji mpya wa simba ni kituko kwa kweli

Siku mkijua kuwa huyu dogo ni wa 2002 hamtaendelea kubishana nae.

Maishani mwangu siwezi kubishana na mvulana ambae bado anategema wazazi, mtu ashibe huko ugali wa bure na kitecno chake alafu aje kinisumbua humu????
Kwahiyo kumbe waliozaliwa 2002 na wanaotumia tecno hawatakiwi kutumia jf? eti anakula ugali wa bure nimewahi kukuomba chochote? nimekudharau sana
 
Mchambuzi mwenyew ni mwananchi...so yule ni puppet tu ........Kama. vile tulivyo mpeleka manara field .....pale MAKOLO FC
 
Mchambuzi mwenyew ni mwananchi...so yule ni puppet tu ........Kama. vile tulivyo mpeleka manara field .....pale MAKOLO FC
anachekesha kwa kweli kuna muda akajifanya anamuuliza chama nani anaemfundisha kuandikia kiswahili mtandaoni sijui alidhani atasema mkude
 
Back
Top Bottom