Huyu msichana ana akili kweli? Ndo meseji gani hii alontumia?

Ivi yule Msanii wa WCB. Harmonize mmakonde yupo, maana kitambo sijamsikia
 
Mkuu kwani mara ya mwisho ulipokuwa unakamua mbunye yake alikuambiaje na wewe ulisemaje?
 
Script ni wigi au?sie wengine wageni humu
 
Ulivyo date na ma actress wa kibongo unategemea nini ?
Dah...halafu unaweza kukuta hizo zote ni saund tu ....hakuna chochote... Mimi nilimuweza mmoja wao baada ya mizinga kuanza kuwa mikubwa....kwa kumwambia tuwe biznes partners ili niweze kuona hayo matumizi yenyewe....mizinga mikubwa ikaisha ghafla[emoji4] [emoji4]
 
Mkuu mm nauza 10 kwa elfu hamsini. Nipo china narudi next wk. mwambie aje kwangu nimpe bureeeeeeeeeeeeeeee 5. Nitumie namba yake. Mwambie nauza na location nyeupe, njano, kijani, pink. Nunua moja pata 4 bure
 
Unauza na location?? Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…