Mkuu kwe yeye anauziwa aje tu. Unajua mabinti wengine wanaona wanaume ni wajinga sana. Yani wanaona ni jalala la hela wanakuja na uongo wa kijinga au uongo mwepesi sana. Ni dharau hiyo mkubwa.Unauza na location?? Hahahaha
hapo sasa mpaka nimeshindwa kushangaa then anataka pesa akanunue script teh teh tehSasa ametengenezaji movie bila script
Hajajaua kuwa movie ndo kwanza inaanza ety anashangaa asubirie makubwa zaidi ya hayoUlivyo date na ma actress wa kibongo unategemea nini ?
Dharau hizo. Mimi siwezi kukuambia nina miguu sita itakuwa nimekuona ni mjinga sana na nimekudharau hadi mwisho. Ndio mambo ya script hayo. Alafu wakipigwa chini wanasema ni shetani. ........mbafu zaosijui wanatuchukuliaje asee