Huyu msichana ana akili kweli? Ndo meseji gani hii alontumia?

Huyu msichana ana akili kweli? Ndo meseji gani hii alontumia?

kwa dau hilo mzeiya hata ukisema umle kiboga ndo umpe huo mpunga bado hailipi.
 
Hehehehe mi kama ile nimedondosha oksjeni na nitrojen ya shule na pia Bluetooth natakiwa kununua
 
Unauza na location?? Hahahaha
Mkuu kwe yeye anauziwa aje tu. Unajua mabinti wengine wanaona wanaume ni wajinga sana. Yani wanaona ni jalala la hela wanakuja na uongo wa kijinga au uongo mwepesi sana. Ni dharau hiyo mkubwa.
 
Actress wengi ombaomba... wanaliwa sana wapate hela ili wamentein status zao...
 
Mkuu kwe yeye anauziwa aje tu. Unajua mabinti wengine wanaona wanaume ni wajinga sana. Yani wanaona ni jalala la hela wanakuja na uongo wa kijinga au uongo mwepesi sana. Ni dharau hiyo mkubwa.
sijui wanatuchukuliaje asee
 
Si ndio viwango vya kumuhonga ulivyomzoesha kaka....??.. Mpe tuu....
 
Script zinanunuliwa,??
Ndio maana baadhi zinafanana na za kihindi, sasa tunahamia kwa wachina.
 
Jamani "scripts" hizi hizi nnazozijua mie au
 
sijui wanatuchukuliaje asee
Dharau hizo. Mimi siwezi kukuambia nina miguu sita itakuwa nimekuona ni mjinga sana na nimekudharau hadi mwisho. Ndio mambo ya script hayo. Alafu wakipigwa chini wanasema ni shetani. ........mbafu zao
 
Back
Top Bottom