Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Ni Ray C.
Nilijaribu kumsikiliza anavyoweza kutoa hoja na ku-tackle maswali ya mtangazaji kwenye media. Ilikuwa ni kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii. Kwa kweli nilimkubali anajua kutoa hoja, she must be smart!Halafu anaonyesha ana exposure nzuri sana na industry anayofanyia kazi. Big up Ray C mjukuu wangu