Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa
Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta.
Nije kwenye mada, kuna demu wangu aliniacha au niseme tumeachana maana tuliachana kwa kukata mawasiliano tu sasa yapita wiki3 hatuna mawasiliano ila cha kushangaza kila nikipost picha instagram analike na mda mwingine ana komenti kabisa
Sasa swali langu bado atakuwa ananikumbuka? Maana niliyomfanyia kipindi tupo kwenye mahusiano ni makubwa na ya thamani sana ndio maana nafikiri muda mwingine atakuwa anakumbuka fadhila.
Nb😊 mimi bado nampenda ila ndio hivyo sitaki anione mnyonge eti nianze kumtafuta.
Wakuu nakaribisha maoni mafupi mafupi🙏🙏🙏