Huyu msichana kaniacha ila ana-like picha zangu za Instagram

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
237
Reaction score
325
Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa

Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta.

Nije kwenye mada, kuna demu wangu aliniacha au niseme tumeachana maana tuliachana kwa kukata mawasiliano tu sasa yapita wiki3 hatuna mawasiliano ila cha kushangaza kila nikipost picha instagram analike na mda mwingine ana komenti kabisa

Sasa swali langu bado atakuwa ananikumbuka? Maana niliyomfanyia kipindi tupo kwenye mahusiano ni makubwa na ya thamani sana ndio maana nafikiri muda mwingine atakuwa anakumbuka fadhila.

Nb😊 mimi bado nampenda ila ndio hivyo sitaki anione mnyonge eti nianze kumtafuta.

Wakuu nakaribisha maoni mafupi mafupi🙏🙏🙏
 
Kawaida hiyo.

Likes nying huwa kutoka kwa ndugu, washkja/marafiki na ambao ushawah kuwa na mahusiano nao.

Na ni ubinadamu tu,hakuna mapenz hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkiachana na mtu haimanishi ndo mmekuwa madui kama nyoka na binadamu.
Kuna maisha mazuri baada ya kuachana.
 
Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa

Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta.

Nije kwenye mada, kuna demu wangu aliniacha au niseme tumeachana maana tuliachana kwa kukata mawasiliano tu sasa yapita wiki3 hatuna mawasiliano ila cha kushangaza kila nikipost picha instagram analike na mda mwingine ana komenti kabisa

Sasa swali langu bado atakuwa ananikumbuka? Maana niliyomfanyia kipindi tupo kwenye mahusiano ni makubwa na ya thamani sana ndio maana nafikiri muda mwingine atakuwa anakumbuka fadhila.

Nb[emoji4] mimi bado nampenda ila ndio hivyo sitaki anione mnyonge eti nianze kumtafuta.

Wakuu nakaribisha maoni mafupi mafupi[emoji120][emoji120][emoji120]
Usipost tena atakua ha-like wala ku-comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom