Hapo mwenzio amekuelewa anaimarisha ulinzi wengine wasikuchukue. Kama unampenda maliza show. Kwa sisi tuliokula chumvi hayo ni kawaida. Tena bora huyo mwingine anakutangaza Mhuni ili wengine waogope halafu ajilie pweza gizani. Ipo siku utanielewaBinafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu
Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi
Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake
Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana
Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Angefanya hivyo kwa wasichana wenzie ningemuelewa ila ananitangazia kwa mashkaji ili iweje huyu analake lingineHapo mwenzio amekuelewa anaimarisha ulinzi wengine wasikuchukue. Kama unampenda maliza show. Kwa sisi tuliokula chumvi hayo ni kawaida. Tena bora huyo mwingine anakutangaza Mhuni ili wengine waogope halafu ajilie pweza gizani. Ipo siku utanielewa
Wewe ndio unamuona hivyo ila hiyo ni kawaida. Vipi kama kuna jamaa wanamtaka amewakataa wameamua kuziba mwanya kwako pia. Jaribu kufuatilia unaweza kuta mko vitaniAngefanya hivyo kwa wasichana wenzie ningemuelewa ila ananitangazia kwa mashkaji ili iweje huyu analake lingine
Duuh sawa ila nikimuona sijui namuonaje sitaki hata kumuona kwanzaWewe ndio unamuona hivyo ila hiyo ni kawaida. Vipi kama kuna jamaa wanamtaka amewakataa wameamua kuziba mwanya kwako pia. Jaribu kufuatilia unaweza kuta mko vitani
Duuh sawa ila nikimuona sijui namuonaje sitaki hata kumuona kwanza
Kuna pisi nilichukua namba kwa ajili ya biashara, kesho yake nasikia mtaani kashatangaza nimemchezea na kumuacha, hayo maneno aliniambia dada mmoja tunaheshimiana sana, nikaambiwa tena na mtu mwingine. Na ako na sura pasono mweusi tiii chuma cha mjerumani.Hapo mwenzio amekuelewa anaimarisha ulinzi wengine wasikuchukue. Kama unampenda maliza show. Kwa sisi tuliokula chumvi hayo ni kawaida. Tena bora huyo mwingine anakutangaza Mhuni ili wengine waogope halafu ajilie pweza gizani. Ipo siku utanielewa
Mkuu sasa yeye ndio kaanza kunitongoza halafu anatangaza nimemtongoza tena kwa jamaa zangu tunaoaminiana sana na kuheshimiana hata kama nimemtongoza kweli ndio anitangaze mtaa mzima?Hutaki kumuona kwa sababu kasema jamaa mtaani umemtongoza? Halafu mkionana utamuuliza kwanini unasema nakutongoza? Unakoelekea kumdharirisha binti. Kama ulikuwa unataka kujiweka na unavutiwa naye kukubari kuwa kweli unamtongoza shida iko wapi? Labda kama umeona ana tabia za hovyo ulitaka kupiga na kuchapa mwendo. Kama ni malaya una haki ya kukasirika. Kama ni innocent mlinde