Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

Na ako na sura pasono mweusi tiii chuma cha mjerumani.
Na wewe uko na sura ya kishombe shombe, ukamwacha binti ako na sura nyeusi kama kunguru.

Hongera maana umefanya vile inafaa maana mngezaa mtoto mwenye madoa meupe na meusi kama paka wa Zanzibar.
 
Una kaujinga flani hivi ..... Yaani unasubiri mwanamke akutongoze????.....
 
Mkuu uko sawa kweli Sasa nini mbaya mwanaume kumtongaza na kumtaka mwanamke?
 
Una kaujinga flani hivi ..... Yaani unasubiri mwanamke akutongoze????.....
Kutongoza mwanamke asievutiwa nawewe ni kutafuta vizinga visivyokuwa na kikomo na mbususu usipewe
 
Na uki zingatia wewe ni nusu albino, basi lazima uchanganyikiwe.
 
Kwanini anitangaze baada ya kumtongoza na wakati kanianza mwenyewe? Kumtongoza sio kitu mbaya ila mbaya ni kunitangaza baada ya kumtongoza
Mkuu ushatomba wanawake wangapi so far?
 
Jaribu kuwa mwanaume basi uwache usenge, mwanaume kuongea hivyo ni dalili mbaya wanaume wenzio unatutia aibu shenzi kabisa
 
Kwanini anitangaze baada ya kumtongoza na wakati kanianza mwenyewe? Kumtongoza sio kitu mbaya ila mbaya ni kunitangaza baada ya kumtongoza
Sijui lengo lako ni lipi kuja kutangaza huku kuwa umetongozwa na mwanamke, kadri unavyojieleza ndio unavyozidi kuonekana mshamba WA mapenzi, inaonekana kutongozwa ni kitu Cha ajabu sana kwenye maisha yako, try to be smart and gentlemen bro, hayo mambo ni kawaida mjini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…