Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Hongera kwa maamuzi sahihi, ila usisahau kuwahi kikao chetu asubuhi ya leo tukupe pongezi toka kwa Mwenyekiti wetu.Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu
Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi
Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake
Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana
Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Simp detectedMamong'o ndio nini? Mwanamke n mwanamke tu
Youngman soma kwanza, nasema soma kwanza hawa wanawake utakuwa type yao ukishapata hela. Kwa sasa soma sana kijana.Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu
Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi
Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake
Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana
Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Hahaha š, basi Intelligent businessman huwa amenipotosha maana anakuita sope sijui shombe shombe.Mimi sio shombe mkuu
Ntamwazimisha earphones [emoji442] zangu kama hasikii vizuri au ntamnunulia hearing aids kabisa ili awe ananasa points kwa uzuri za mwenyekiti...kwenye kikao kesho ukae karibu na spika.
fanya hivyo!.Ntamwazimisha earphones [emoji442] zangu kama hasikii vizuri au ntamnunulia hearing aids kabisa ili awe ananasa points kwa uzuri za mwenyekiti...
Ondoa shaka, lazima tumsaidie huyu kenge, maana kenge huwa hazisikii hata uchonoe sikio huenda huyu atasikia na kuelewa kwa msaada huu..fanya hivyo!.
Young men, Never sleep with low-quality girls just because they're easy. You will absorb their bad energy. Remember You can't drink poison just because you're thirsty.Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu
Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi
Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake
Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana
Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
š¤£Nilipokuwa na umri kama wako kila wiki nilikua nakula malaya watatu pale riversideWatatu
Hivi kwanini tukiwatongoza huwa mnatutangaza lengo ni nini hasaKazanazo umemaliza 6 upo kitaa .
KWanza sasa hivi mnauliwa sana kisa ujinga tu wawatu kupendana ushauri best , jitahidi kuwa busy na masomo huyo binti ni katumwa na,shetani nawewe ni mtu unayependa kwenda kanisani .
Tafuta hata course ya muda mfupi au kazi acha kupoteza muda na mapenziii
Hujamtongoza hataki uwe unafanya vizuri darasani mwambie sijakutongoza ukiendelea utajua mwenyewe kana jombaHivi kwanini tukiwatongoza huwa mnatutangaza lengo ni nini hasa
Mdogo hivyoo ushaanza tabia mbovuuWewe wataka nifeli kwa genye