Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Hata humu JF wamo unaweza kuona uchangiaji wa mada kama izi.
 
Ikitokea akakupalamia unamtindua mwenyewe kwani kukaa kwake ndo anakuwa amekuzidi mbavu?

Kama sivyo utakuwa punga kabla ya hapo.

Hatari yake uwa kama dada yako anajua kupiga kelele kwenye bed hiyo uwa inaumiza sana maana,Demu mpiga zumali hawezi kujizuia hata kama baba yake kalala sebreni.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
yuko vizuri tu
anafanya kazi
kazi yake ndio inataka hivo
afanyaje kijana wa watu..
mnataka atangaze mpira?
 
Sema hii kitu ya kuwa na character ya kike au kuigiza kama mwanamke sio poa kabisa kwa mwanaume maana kuna jamaa ni komedian kwenye TV flani maarufu na kipindi chao kinaruka Jmos dah kumbe jamaa kuigiza kike na kweli ni mke yani dah mbaya sana.
 
Nilimkuta Elements last week yuko na mzungu nadhani analiwa huyu dogo maana wazungu wanakulaga hiz mambo (Backdoor)
 
Jamani hyo ndo kazi Yake ananogesha tu..if u have no proof, u have no right to speak...acheni kumjudge vibaya mwenzenu..kama hampendi kipindi Chake angalieni ngumiii
hahahahahahhahahaha
 
Kipindi kile ndo kinamfanya awe vile hasa na kuupenda umodo... ila hana tabia za kishoga kabisa yani ni sawa tuu na Ben Kinyaiya anavyoupenda ukongo mpaka kufikia kujichubua
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Bora ulale kwa dada yako hata miaka 100 kuliko kuwa punga.
teh teh! kuishi kwa dada yako alikoolewa hata miaka mia? haupo sirious bro! Dada yako akisafiri uta replace nafasi yake na lazma jamaa atelezee mgongonii kwako
 
Dume ukiingia kwenye mambo ya fashoooni ujue wadau soon wanafanya booking ya kukupumulia aisee
 
Sema hii kitu ya kuwa na character ya kike au kuigiza kama mwanamke sio poa kabisa kwa mwanaume maana kuna jamaa ni komedian kwenye TV flani maarufu na kipindi chao kinaruka Jmos dah kumbe jamaa kuigiza kike na kweli ni mke yani dah mbaya sana.

Huyo bila shaka ni yule jamaa wa ze comedy tv ya afrika mashariki
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom