Huyu mtangazaji kusema kweli anakera sana/ anabore. aina ya utangazaji wake ni kama ujuha. (Maulidi kitenge)

affimation

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
48
Reaction score
105
Maulidi Kwani lazima utumie nguvu?

Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.

Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! wakati mwingine atishiane na mtu,

Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!View attachment 1006261View attachment 1006263View attachment 1006262
Screenshot_20190127-170840_Instagram.jpeg
Screenshot_20190127-170829_Instagram.jpeg
Screenshot_20190127-170654_Instagram.jpeg
Screenshot_20190127-170716_Instagram.jpeg
20190125_012842.jpeg
20190125_012823.jpeg
20190125_012754.jpeg
Screenshot_20190127-170742_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: THT
Nadhani wewe hujajua aina ya segment yake ina maudhi gani, yeye anatumia sarcasm kufikisha ujumbe. Lakini kama anakuboa why are you wasting your time kumfatilia?? Acha kuna watu wanamuelewa na style yake hiyohiyo. Tatizo wabongo mmekariri mtu asipofit katika box lenu mnaona hafai program manager wanapitia kipindi na kinarushwa mnyalukolo unatoa povu Jamiiforum. Tujifunze ku appreciate vitu na kukubali ideas za watu hata kama hazi appeal kwetu.
 
Maulidi Kwani lazima utumie nguvu?

Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.

Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! wakati mwingine atishiane na mtu,

Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!View attachment 1006261View attachment 1006263View attachment 1006262View attachment 1006264View attachment 1006265View attachment 1006266View attachment 1006267View attachment 1006269View attachment 1006270View attachment 1006271View attachment 1006272

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mbona freshi ndio napendaga
 
Maulidi anapatia sana kusoma magazeti,yaani akikosekana kipindi cha magazeti kinaboa sana!! Namkubali sana Kitenge hasa anapochambua title na kuonyesha msisitizo.
 
Yaani mtu anakuboa halafu bado unamsikiliza tu?! Kweli msongo mwingine wakujitakia.
 
Maulid anajua sana kwenye magazeti.... wewe una lako jambo
 
Iko ndo kinachompa umaarufu.Aina ya utangazaji wake watu wengi wanafurahishwa nao that's why kipindi chake ni pendwa...Afu kama humkubali c ukaushe tu kwani umelazimishwa!!
 
Maulidi Kwani lazima utumie nguvu?

Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.

Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! wakati mwingine atishiane na mtu,

Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!View attachment 1006261View attachment 1006263View attachment 1006262View attachment 1006264View attachment 1006265View attachment 1006266View attachment 1006267View attachment 1006269View attachment 1006270View attachment 1006271View attachment 1006272

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakukera ww sio wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom