Huyu mtangazaji kusema kweli anakera sana/ anabore. aina ya utangazaji wake ni kama ujuha. (Maulidi kitenge)

Huyu mtangazaji kusema kweli anakera sana/ anabore. aina ya utangazaji wake ni kama ujuha. (Maulidi kitenge)

Maulidi Kwani lazima utumie nguvu?

Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.

Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! wakati mwingine atishiane na mtu,

Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!View attachment 1006261View attachment 1006263View attachment 1006262View attachment 1006264View attachment 1006265View attachment 1006266View attachment 1006267View attachment 1006269View attachment 1006270View attachment 1006271View attachment 1006272

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafki changamoto sanah

Inaonekana wamfwatilia daily afu waja mponda huku,

Zipo radio ngapi waeza sikiliza magazeti weweehhh


Wacha u hater

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom