affimation
Member
- Jan 25, 2019
- 48
- 105
hahahhaaaNilivyoona tu "instergram" nikaishia hapo!
Mimi mbona freshi ndio napendagaMaulidi Kwani lazima utumie nguvu?
Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.
Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! wakati mwingine atishiane na mtu,
Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!View attachment 1006261View attachment 1006263View attachment 1006262View attachment 1006264View attachment 1006265View attachment 1006266View attachment 1006267View attachment 1006269View attachment 1006270View attachment 1006271View attachment 1006272
Sent using Jamii Forums mobile app
Maulidi anapatia sana kusoma magazeti,yaani akikosekana kipindi cha magazeti kinaboa sana!! Namkubali sana Kitenge hasa anapochambua title na kuonyesha msisitizo.Nadhani wewe hujajua aina ya segment yake ina maudhi gani, yeye anatumia sarcasm kufikisha ujumbe. Lakini kama anakuboa why are you wasting your time kumfatilia?? Acha kuna watu wanamuelewa na style yake hiyohiyo. Tatizo wabongo mmekariri mtu asipofit katika box lenu mnaona hafai program manager wanapitia kipindi na kinarushwa mnyalukolo unatoa povu Jamiiforum. Tujifunze ku appreciate vitu na kukubali ideas za watu hata kama hazi appeal kwetu.
Anakukera ww sio woteMaulidi Kwani lazima utumie nguvu?