GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.
Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.
Nawasilisha.